Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 3 daripada 3 )
(0.023 saat)
#1
Al-A'raf
:195
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Je,
wao
wanayo
miguu
ya
kwendea?
Au
wanayo
mikono
ya
kutetea?
Au
wanayo
macho
ya
kuonea?
Au
wanayo
masikio
ya
kusikizia?
Sema:
Iiteni
hio
miungu
yenu
ya
ushirikina.
Kisha
nifanyieni
mimi
vitimbi,
wala
msinipe
muhula.
]
[ ألهم أرجل يمشون بها أم لهم أيد يبطشون بها أم لهم أعين يبصرون بها أم لهم آذان يسمعون بها قل ادعوا شركاءكم ثم كيدون فلا تنظرون ] — الأعراف 195
#2
Ghafir
:61
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Mwenyezi
Mungu
aliye
kufanyieni
usiku
ili
mpate
kutulia
humo,
na
mchana
wa
kuonea.
Hakika
Mwenyezi
Mungu
bila
ya
shaka
ni
Mwenye
fadhila
juu
ya
watu,
lakini
watu
wengi
hawashukuru.
]
[ الله الذي جعل لكم الليل لتسكنوا فيه والنهار مبصرا إن الله لذو فضل على الناس ولكن أكثر الناس لا يشكرون ] — غافر 61
#3
Yunus
:67
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani