Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.036 saat)
#1
Al-A'raf
:195
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Je,
wao
wanayo
miguu
ya
kwendea?
Au
wanayo
mikono
ya
kutetea?
Au
wanayo
macho
ya
kuonea?
Au
wanayo
masikio
ya
kusikizia?
Sema:
Iiteni
hio
miungu
yenu
ya
ushirikina.
Kisha
nifanyieni
mimi
vitimbi,
wala
msinipe
muhula.
]
[ ألهم أرجل يمشون بها أم لهم أيد يبطشون بها أم لهم أعين يبصرون بها أم لهم آذان يسمعون بها قل ادعوا شركاءكم ثم كيدون فلا تنظرون ] — الأعراف 195