Filter Results
Sonuçlar: ( 1 - 1 | 1 )
(0,020 saniye)
#1
Yunus
:88
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
Musa
akasema:
Mola
wetu
Mlezi!
Hakika
wewe
umempa
Firauni
na
wakuu
wake
mapambo
na
mali
katika
maisha
ya
dunia.
Hivyo
wanapoteza
watu
na
Njia
yako.
Mola
wetu
Mlezi!
Yafutilie
mbali
mali
yao
na
zifunge
nyoyo
zao,
wasiamini
mpaka
waione
adhabu
chungu.
]
[ وقال موسى ربنا إنك آتيت فرعون وملأه زينة وأموالا في الحياة الدنيا ربنا ليضلوا عن سبيلك ربنا اطمس على أموالهم واشدد على قلوبهم فلا يؤمنوا حتى يروا العذاب الأليم ] — يونس 88