Filter Results
Sonuçlar: ( 1 - 3 | 3 )
(0,023 saniye)
#1
An-Naml
:36
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Basi
alipo
fika
(mjumbe)
kwa
Sulaiman,
alisema
(Sulaiman):
Hivyo
ndio
nyinyi
mnanisaidia
kwa
mali?
Aliyo
nipa
Mwenyezi
Mungu
ni
bora
zaidi
kuliko
aliyo
kupeni
nyinyi.
Lakini
nyinyi
mnafurahia
hii
zawadi
yenu.
]
[ فلما جاء سليمان قال أتمدونن بمال فما آتاني الله خير مما آتاكم بل أنتم بهديتكم تفرحون ] — النمل 36
#2
Al-Baqarah
:197
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Hija
ni
miezi
maalumu.
Na
anaye
kusudia
kufanya
Hija
katika
miezi
hiyo,
basi
asiseme
maneno
machafu
wala
asifanye
vitendo
vichafu
wala
asibishane
katika
Hija.
Na
kheri
yoyote
mnayo
ifanya
Mwenyezi
Mungu
anaijua.
Na
jitengezeeni
zawadi.
Na
hakika
bora
ya
zawadi
ni
uchamngu.
Na
nicheni
Mimi,
enyi
wenye
akili!
]
[ الحج أشهر معلومات فمن فرض فيهن الحج فلا رفث ولا فسوق ولا جدال في الحج وما تفعلوا من خير يعلمه الله وتزودوا فإن خير الزاد التقوى واتقون يا أولي الألباب ] — البقرة 197
#3
An-Naml
:35
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani