Filter Results
Sonuçlar: ( 1 - 1 | 1 )
(0,023 saniye)
#1
Al-Qasas
:23
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
alipo
yafikia
maji
ya
Madyana
alikuta
umati
wa
watu
wananywesha
(wanyama
wao),
na
akakuta
karibu
yao
wanawake
wawili
wanawazuia
wanyama
wao.
Akasema:
Mna
nini?
Wakasema:
Hatunyweshi
sisi
mpaka
wamalize
hao
wachunga.
Na
baba
yetu
ni
mzee
sana.
]
[ ولما ورد ماء مدين وجد عليه أمة من الناس يسقون ووجد من دونهم امرأتين تذودان قال ما خطبكما قالتا لا نسقي حتى يصدر الرعاء وأبونا شيخ كبير ] — القصص 23