Filter Results
Sonuçlar: ( 1 - 1 | 1 )
(0,020 saniye)
#1
Al Imran
:61
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Watakao
kuhoji
katika
haya
baada
ya
kukufikilia
ilimu
hii
waambie:
Njooni
tuwaite
watoto
wetu
na
watoto
wenu,
na
wake
zetu
na
wake
zenu,
na
sisi
wenyewe
na
nyinyi
wenyewe,
kisha
tuombe
kwa
unyenyekevu
tutake
laana
ya
Mwenyezi
Mungu
iwashukie
waongo.
]
[ فمن حاجك فيه من بعد ما جاءك من العلم فقل تعالوا ندع أبناءنا وأبناءكم ونساءنا ونساءكم وأنفسنا وأنفسكم ثم نبتهل فنجعل لعنت الله على الكاذبين ] — آل عمران 61