Filter Results
Surah
Sonuçlar: ( 1 - 2 | 2 )
(0,021 saniye)
#1
Hud
:63
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Akasema:
Enyi
watu
wangu!
Mwaonaje
ikiwa
ninazo
dalili
zilizo
wazi
kutokana
na
Mola
wangu
Mlezi,
naye
akawa
kanipa
rehema
kutoka
kwake
-
je,
ni
nani
atakaye
ninusuru
kwa
Mwenyezi
Mungu
nikimuasi?
Basi
nyinyi
hamtanizidishia
ila
khasara
tu.
]
[ قال يا قوم أرأيتم إن كنت على بينة من ربي وآتاني منه رحمة فمن ينصرني من الله إن عصيته فما تزيدونني غير تخسير ] — هود 63
#2
Al-An'am
:50
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Sema:
Mimi
sikwambiini
kuwa
ninazo
khazina
za
Mwenyezi
Mungu.
Wala
sijui
mambo
yaliyo
fichikana.
Wala
sikwambiini
kuwa
mimi
ni
Malaika.
Mimi
sifuati
ila
yanayo
funuliwa
kwangu.
Sema:
Je,
wanakuwa
sawa,
kipofu
na
mwenye
kuona.
Basi
hamfikiri?
]
[ قل لا أقول لكم عندي خزائن الله ولا أعلم الغيب ولا أقول لكم إني ملك إن أتبع إلا ما يوحى إلي قل هل يستوي الأعمى والبصير أفلا تتفكرون ] — الأنعام 50