Filter Results
Sonuçlar: ( 1 - 3 | 3 )
(0,024 saniye)
#1
Yunus
:12
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
mtu
akiguswa
na
shida
hutuomba
naye
kaegesha
ubavu,
au
kakaa,
au
kasimama.
Lakini
tukimwondoshea
shida
yake
huendelea
kama
kwamba
hakupata
kutuomba
tumwondoshee
shida
iliyo
mpata.
Ndio
namna
hiyo
wamepambiwa
warukao
mipaka
yale
waliyo
kuwa
wakiyatenda.
]
[ وإذا مس الإنسان الضر دعانا لجنبه أو قاعدا أو قائما فلما كشفنا عنه ضره مر كأن لم يدعنا إلى ضر مسه كذلك زين للمسرفين ما كانوا يعملون ] — يونس 12
#2
Hud
:10
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
tukimwonjesha
neema
baada
ya
madhara
yaliyo
mpata
husema:
Taabu
zimekwisha
niondokea.
Hakika
yeye
hujitapa
na
kutafakhari.
]
[ ولئن أذقناه نعماء بعد ضراء مسته ليقولن ذهب السيئات عني إنه لفرح فخور ] — هود 10
#3
Fussilat
:49
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani