Filter Results
Sonuçlar: ( 1 - 1 | 1 )
(0,023 saniye)
#1
Al Imran
:14
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Watu
wamepambiwa
kupenda
matamanio
ya
wanawake,
na
wana,
na
mirundi
ya
dhahabu
na
fedha,
na
farasi
asili,
na
mifugo,
na
mashamba.
Hayo
ni
starehe
ya
maisha
ya
duniani;
na
kwa
Mwenyezi
Mungu
ndio
kwenye
marejeo
mema.
]
[ زين للناس حب الشهوات من النساء والبنين والقناطير المقنطرة من الذهب والفضة والخيل المسومة والأنعام والحرث ذلك متاع الحياة الدنيا والله عنده حسن المآب ] — آل عمران 14