Filter Results
Sonuçlar: ( 1 - 1 | 1 )
(0,044 saniye)
#1
Al-Ma'idah
:106
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Enyi
mlio
amini!
Yanapo
mfikia
mauti
mmoja
wenu
na
akataka
kutoa
wasia,
basi
wawepo
mashahidi
wawili
miongoni
mwenu
ambao
ni
waadilifu.
Na
mnapo
kuwa
safarini,
na
msiba
wa
mauti
ukakusibuni,
basi
washuhudie
wengineo
wawili
wasio
kuwa
katika
nyinyi.
Mtawazuia
wawili
hao
baada
ya
Sala
na
waape
kwa
Mwenyezi
Mungu,
mkitilia
shaka,
wakisema:
Hatutopokea
thamani
yoyote
kwa
haya
hata
kwa
ajili
ya
jamaa;
na
wala
hatutaficha
ushahidi
wa
Mwenyezi
Mungu;
hakika
hapo
tutakuwa
miongoni
mwa
wenye
dhambi.
]
[ يا أيها الذين آمنوا شهادة بينكم إذا حضر أحدكم الموت حين الوصية اثنان ذوا عدل منكم أو آخران من غيركم إن أنتم ضربتم في الأرض فأصابتكم مصيبة الموت تحبسونهما من بعد الصلاة فيقسمان بالله إن ارتبتم لا نشتري به ثمنا ولو كان ذا قربى ولا نكتم شهادة الله إنا إذا لمن الآثمين ] — المائدة 106