Filter Results
Sonuçlar: ( 1 - 2 | 2 )
(0,024 saniye)
#1
Ghafir
:5
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Kabla
yao
walikadhibisha
kaumu
ya
Nuhu
na
makundi
mengine
baada
yao.
Na
kila
taifa
lilikuwa
na
hamu
juu
ya
Mtume
wao
wamkamate.
Na
walibishana
kwa
upotovu
ili
kuipindua
haki.
Kwa
hivyo
niliwakamata.
Basi
ilikuwaje
adhabu
yangu!
]
[ كذبت قبلهم قوم نوح والأحزاب من بعدهم وهمت كل أمة برسولهم ليأخذوه وجادلوا بالباطل ليدحضوا به الحق فأخذتهم فكيف كان عقاب ] — غافر 5
#2
At-Tawba
:13
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Je,
hamtapigana
na
watu
walio
vunja
viapo
vyao
na
wakawa
na
hamu
ya
kumfukuza
Mtume,
nao
ndio
walio
kuanzeni
mara
ya
kwanza?
Je,
mnawaogopa?
Basi
Mwenyezi
Mungu
anastahiki
zaidi
mumwogope,
ikiwa
nyinyi
ni
Waumini.
]
[ ألا تقاتلون قوما نكثوا أيمانهم وهموا بإخراج الرسول وهم بدءوكم أول مرة أتخشونهم فالله أحق أن تخشوه إن كنتم مؤمنين ] — التوبة 13