Filter Results
Sonuçlar: ( 1 - 5 | 5 )
(0,022 saniye)
#1
Al-Israa
:102
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Musa
akasema:
Wewe
unajua
bila
ya
shaka
kuwa
haya
hakuyateremsha
ila
Mola
Mlezi
wa
mbingu
na
ardhi
ili
kuwa
ni
ushahidi
wa
kuonekana.
Na
hakika
mimi
bila
ya
shaka
nakuona
wewe,
Firauni,
kuwa
umekwisha
angamia.
]
[ قال لقد علمت ما أنزل هؤلاء إلا رب السماوات والأرض بصائر وإني لأظنك يا فرعون مثبورا ] — الإسراء 102
#2
Al-FatH
:12
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
#3
Al-Furqan
:18
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Watasema:
Subhanak,
Umetakasika
na
upungufu!
Haikutupasia
sisi
kuchukulia
walinzi
badala
yako,
lakini
Wewe
uliwastarehesha
wao
na
baba
zao
hata
wakasahau
kukumbuka,
na
wakawa
watu
walio
angamia.
]
[ قالوا سبحانك ما كان ينبغي لنا أن نتخذ من دونك من أولياء ولكن متعتهم وآباءهم حتى نسوا الذكر وكانوا قوما بورا ] — الفرقان 18
#4
Al-A'raf
:139
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
#5
Hud
:95
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani