Filter Results
Sonuçlar: ( 1 - 1 | 1 )
(0,023 saniye)
#1
Al-Ma'idah
:95
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Enyi
mlio
amini!
Msiue
wanyama
wa
kuwinda
nanyi
mmeharimia
katika
Hija.
Na
miongoni
mwenu
atakaye
muuwa
makusudi,
basi
malipo
yake
yatakuwa
kwa
kuchinja
kilicho
sawa
na
alicho
kiuwa,
katika
mifugo,
kama
wanavyo
hukumu
waadilifu
wawili
miongoni
mwenu.
Mnyama
huyo
apelekwe
kwenye
Al
Kaaba,
au
kutoa
kafara
kwa
kuwalisha
masikini;
au
badala
ya
hayo
ni
kufunga,
ili
aonje
ubaya
wa
jambo
lake
hili.
Mwenyezi
Mungu
amekwisha
yafuta
yaliyo
pita;
lakini
atakaye
fanya
tena
Mwenyezi
Mungu
atampa
adhabu.
Na
Mwenyezi
Mungu
ndiye
Mwenye
nguvu
na
Mwenye
kuadhibu.
]
[ يا أيها الذين آمنوا لا تقتلوا الصيد وأنتم حرم ومن قتله منكم متعمدا فجزاء مثل ما قتل من النعم يحكم به ذوا عدل منكم هديا بالغ الكعبة أو كفارة طعام مساكين أو عدل ذلك صياما ليذوق وبال أمره عفا الله عما سلف ومن عاد فينتقم الله منه والله عزيز ذو انتقام ] — المائدة 95