Filter Results
Sonuçlar: ( 1 - 1 | 1 )
(0,024 saniye)
#1
Al-Baqarah
:264
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Enyi
mlio
amini!
Msiharibu
sadaka
zenu
kwa
masimbulizi
na
maudhi,
kama
anaye
toa
mali
yake
kwa
kuwaonyesha
watu,
wala
hamuamini
Mwenyezi
Mungu
wala
Siku
ya
Mwisho.
Basi
mfano
wake
ni
kama
mfano
wa
jabali
ambalo
juu
yake
pana
udongo,
kisha
likapigwa
na
mvua
kubwa,
ikaliacha
tupu.
Basi
hawatakuwa
na
uweza
wowote
kwa
walivyo
chuma.
Na
Mwenyezi
Mungu
hawaongoi
watu
makafiri.
]
[ يا أيها الذين آمنوا لا تبطلوا صدقاتكم بالمن والأذى كالذي ينفق ماله رئاء الناس ولا يؤمن بالله واليوم الآخر فمثله كمثل صفوان عليه تراب فأصابه وابل فتركه صلدا لا يقدرون على شيء مما كسبوا والله لا يهدي القوم الكافرين ] — البقرة 264