Filter Results
Resultados: ( 1 para 1 de 1 )
(0,023 segundos)
#1
Al-Israa
:57
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Hao
wanao
waomba,
wao
wenyewe
wanatafuta
njia
ya
kwendea
kwa
Mola
wao
Mlezi
-
hata
miongoni
mwao
walio
karibu
mno
-
na
wanataraji
rehema
zake
na
wanaikhofu
adhabu
yake.
Hakika
adhabu
ya
Mola
wako
Mlezi
yafaa
kutahadhari
nayo.
]
[ أولئك الذين يدعون يبتغون إلى ربهم الوسيلة أيهم أقرب ويرجون رحمته ويخافون عذابه إن عذاب ربك كان محذورا ] — الإسراء 57