Filter Results
Resultados: ( 1 para 1 de 1 )
(0,022 segundos)
#1
Al-Israa
:97
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
anaye
mhidi
Mwenyezi
Mungu
basi
huyo
ndiye
aliye
hidika.
Na
anaye
wapotoa
basi
huto
wapatia
walinzi
badala
yake.
Na
tutawakusanya
Siku
ya
Kiyama
hali
wakikokotwa
juu
ya
nyuso
zao,
nao
ni
vipofu
na
mabubu
na
viziwi.
Na
makaazi
yao
ni
Jahannamu.
Kila
moto
ukifanya
kusinzia
tutazidi
kuuchochea
uwake
kwa
nguvu.
]
[ ومن يهد الله فهو المهتد ومن يضلل فلن تجد لهم أولياء من دونه ونحشرهم يوم القيامة على وجوههم عميا وبكما وصما مأواهم جهنم كلما خبت زدناهم سعيرا ] — الإسراء 97