Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.025 saat)
#1
Al-An'am
:34
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
hakika
walikanushwa
Mitume
wa
kabla
yako.
Nao
wakavumilia
kule
kukanushwa,
na
kuudhiwa,
mpaka
ilipo
wafikia
nusura
yetu.
Na
hapana
wa
kubadilisha
maneno
ya
Mwenyezi
Mungu.
Na
bila
ya
shaka
zimekujia
baadhi
ya
khabari
za
Mitume
hao.
]
[ ولقد كذبت رسل من قبلك فصبروا على ما كذبوا وأوذوا حتى أتاهم نصرنا ولا مبدل لكلمات الله ولقد جاءك من نبإ المرسلين ] — الأنعام 34