Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.024 saat)
#1
An-Nisa'
:6
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
wajaribuni
mayatima
mpaka
wafike
umri
wa
kuoa.
Mkiwaona
ni
wekevu,
basi
wapeni
mali
yao.
Wala
msiyale
kwa
fujo
na
pupa
kwa
kuwa
watakuja
kuwa
watu
wazima.
Na
aliye
kuwa
tajiri
naajizuilie,
na
aliye
fakiri
basi
naale
kwa
kadri
ya
ada.
Na
mtakapo
wapa
mali
yao
washuhudizieni.
Na
Mwenyezi
Mungu
anatosha
kuwa
Mhasibu.
]
[ وابتلوا اليتامى حتى إذا بلغوا النكاح فإن آنستم منهم رشدا فادفعوا إليهم أموالهم ولا تأكلوها إسرافا وبدارا أن يكبروا ومن كان غنيا فليستعفف ومن كان فقيرا فليأكل بالمعروف فإذا دفعتم إليهم أموالهم فأشهدوا عليهم وكفى بالله حسيبا ] — النساء 6