Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.026 saat)
#1
Al-Baqarah
:143
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
vivyo
hivyo
tumekufanyeni
muwe
Umma
wa
wasitani,
ili
muwe
mashahidi
juu
ya
watu,
na
Mtume
awe
ni
shahidi
juu
yenu.
Na
hatukukifanya
kibla
ulicho
kuwa
nacho
ila
tupate
kumjua
yule
anaye
mfuata
Mtume
na
yule
anaye
geuka
akarejea
nyuma.
Na
kwa
yakini
hilo
lilikuwa
jambo
gumu
isipo
kuwa
kwa
wale
alio
waongoa
Mwenyezi
Mungu.
Na
Mwenyezi
Mungu
hakuwa
mwenye
kuipoteza
Imani
yenu.
Kwani
Mwenyezi
Mungu
ni
Mpole
kwa
watu
na
Mwenye
kuwarehemu.
]
[ وكذلك جعلناكم أمة وسطا لتكونوا شهداء على الناس ويكون الرسول عليكم شهيدا وما جعلنا القبلة التي كنت عليها إلا لنعلم من يتبع الرسول ممن ينقلب على عقبيه وإن كانت لكبيرة إلا على الذين هدى الله وما كان الله ليضيع إيمانكم إن الله بالناس لرءوف رحيم ] — البقرة 143