Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 2 daripada 2 )
(0.023 saat)
#1
Al Imran
:180
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Wala
wasidhani
wale
ambao
wanafanya
ubakhili
katika
aliyo
wapa
Mwenyezi
Mungu
katika
fadhila
zake
kuwa
ni
kheri
yao.
Bali
hiyo
ni
shari
kwao.
Watafungwa
kongwa
za
yale
waliyo
yafanyia
ubakhili
Siku
ya
Kiyama.
Na
urithi
wa
mbingu
na
ardhi
ni
wa
Mwenyezi
Mungu.
Na
Mwenyezi
Mungu
anazo
khabari
za
yote
myatendayo.
]
[ ولا يحسبن الذين يبخلون بما آتاهم الله من فضله هو خيرا لهم بل هو شر لهم سيطوقون ما بخلوا به يوم القيامة ولله ميراث السماوات والأرض والله بما تعملون خبير ] — آل عمران 180
#2
Al Imran
:178
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani