Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.022 saat)
#1
Al-A'raf
:150
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
alipo
rudi
Musa
kwa
watu
wake,
naye
amekasirika
na
kuhuzunika,
alisema:
Ni
maovu
yalioje
mlio
nifanyia
nyuma
yangu!
Je,
mmeitangulia
amri
ya
Mola
wenu
Mlezi?
Na
akaziweka
chini
zile
mbao,
na
akamkamata
kichwa
ndugu
yake
akimvutia
kwake.
(Haarun)
akasema:
Ewe
mwana
wa
mama
yangu!
Hakika
hawa
watu
wamenidharau,
na
wakakaribia
kuniuwa.
Basi
usiwafurahishe
maadui
juu
yangu,
wala
usinifanye
pamoja
na
watu
madhaalimu.
]
[ ولما رجع موسى إلى قومه غضبان أسفا قال بئسما خلفتموني من بعدي أعجلتم أمر ربكم وألقى الألواح وأخذ برأس أخيه يجره إليه قال ابن أم إن القوم استضعفوني وكادوا يقتلونني فلا تشمت بي الأعداء ولا تجعلني مع القوم الظالمين ] — الأعراف 150