Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.040 saat)
#1
At-Tawba
:37
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Bila
ya
shaka
kuakhirisha
(miezi)
ni
kuzidi
katika
kukufuru;
kwa
hayo
hupotezwa
walio
kufuru.
Wanauhalalisha
mwaka
mmoja
na
kuharimisha
mwaka
mwingine,
ili
wafanye
kuwa
sawa
idadi
ya
ile
(miezi)
aliyo
itukuza
Mwenyezi
Mungu.
Kwa
hivyo
huhalalisha
alivyo
viharimisha
Mwenyezi
Mungu.
Wamepambiwa
ubaya
wa
vitendo
vyao
hivi.
Na
Mwenyezi
Mungu
hawaongoi
watu
makafiri.
]
[ إنما النسيء زيادة في الكفر يضل به الذين كفروا يحلونه عاما ويحرمونه عاما ليواطئوا عدة ما حرم الله فيحلوا ما حرم الله زين لهم سوء أعمالهم والله لا يهدي القوم الكافرين ] — التوبة 37