Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.028 saat)
#1
Al-An'am
:68
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
unapo
waona
wanao
ziingilia
Aya
zetu,
basi
jitenge
nao
mpaka
waingilie
mazungumzo
mengine.
Na
kama
Shet'ani
akikusahaulisha,
basi
baada
ya
kutanabahi
usikae
pamoja
na
watu
madhaalimu.
]
[ وإذا رأيت الذين يخوضون في آياتنا فأعرض عنهم حتى يخوضوا في حديث غيره وإما ينسينك الشيطان فلا تقعد بعد الذكرى مع القوم الظالمين ] — الأنعام 68