Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.025 saat)
#1
Al-Qasas
:38
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
Firauni
akasema:
Enyi
waheshimiwa!
Sijui
kama
mnaye
mungu
asiye
kuwa
mimi.
Ewe
Haman!
Niwashie
moto
unichomee
udongo,
unijengee
mnara
nipate
kumchungulia
mungu
wa
Musa.
Na
hakika
mimi
namwona
yeye
ni
katika
waongo.
]
[ وقال فرعون يا أيها الملأ ما علمت لكم من إله غيري فأوقد لي يا هامان على الطين فاجعل لي صرحا لعلي أطلع إلى إله موسى وإني لأظنه من الكاذبين ] — القصص 38