Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.023 saat)
#1
An-Nisa'
:104
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Wala
msifanye
ulegevu
kuwafukuzia
kaumu
ya
maadui.
Ikiwa
mnaumia,
basi
nao
pia
wanaumia
kama
mnavyo
umia
nyinyi.
Nanyi
mnataraji
kwa
Mwenyezi
Mungu
wasio
yataraji
wao.
Na
hakika
Mwenyezi
Mungu
ni
Mjuzi
na
Mwenye
hikima.
]
[ ولا تهنوا في ابتغاء القوم إن تكونوا تألمون فإنهم يألمون كما تألمون وترجون من الله ما لا يرجون وكان الله عليما حكيما ] — النساء 104