Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.026 saat)
#1
Al-Baqarah
:246
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Hukuwaona
watukufu
katika
Wana
wa
Israili
baada
ya
Musa,
walipo
mwambia
Nabii
wao:
Tuwekee
mfalme
ili
tupigane
katika
Njia
ya
Mwenyezi
Mungu?
Akasema:
Je,
haielekei
ikiwa
mtaandikiwa
vita
kuwa
msipigane?
Wakasema:
Itakuwaje
tusipigane
katika
Njia
ya
Mwenyezi
Mungu,
na
hali
tumetolewa
majumbani
kwetu
na
watoto
wetu?
Lakini
walipo
andikiwa
kupigana
waligeuka,
isipo
kuwa
wachache
miongoni
mwao.
Na
Mwenyezi
Mungu
anawajua
madhaalimu.
]
[ ألم تر إلى الملإ من بني إسرائيل من بعد موسى إذ قالوا لنبي لهم ابعث لنا ملكا نقاتل في سبيل الله قال هل عسيتم إن كتب عليكم القتال ألا تقاتلوا قالوا وما لنا ألا نقاتل في سبيل الله وقد أخرجنا من ديارنا وأبنائنا فلما كتب عليهم القتال تولوا إلا قليلا منهم والله عليم بالظالمين ] — البقرة 246