Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.023 saat)
#1
Al-An'am
:99
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
Yeye
ndiye
anaye
teremsha
maji
kutoka
mbinguni;
na
kwayo
tunatoa
mimea
ya
kila
kitu.
Kutokana
na
baadhi
yao
tukatoa
mimea
ya
majani,
tukatoa
ndani
yake
punje
zilizo
pandana;
na
kutokana
na
mitende
yakatoka
kwenye
makole
yake
mashada
yaliyo
inama;
na
bustani
za
mizabibu
na
mizaituni,
na
makomamanga,
yaliyo
fanana
na
yasiyo
fanana.
Angalieni
matunda
yake
yanapo
zaa
na
yakawiva.
Hakika
katika
hayo
pana
Ishara
kwa
watu
wanao
amini.
]
[ وهو الذي أنزل من السماء ماء فأخرجنا به نبات كل شيء فأخرجنا منه خضرا نخرج منه حبا متراكبا ومن النخل من طلعها قنوان دانية وجنات من أعناب والزيتون والرمان مشتبها وغير متشابه انظروا إلى ثمره إذا أثمر وينعه إن في ذلكم لآيات لقوم يؤمنون ] — الأنعام 99