Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.039 saat)
#1
Fussilat
:45
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
hakika
tulimpa
Musa
Kitabu,
lakini
pakatokea
khitilafu
kati
yake.
Na
lau
kuwa
halikwisha
tangulia
neno
la
Mola
wako
Mlezi
wangeli
hukumiwa.
Na
hakika
wao
wamo
katika
shaka
yenye
kuwatia
wasiwasi.
]
[ ولقد آتينا موسى الكتاب فاختلف فيه ولولا كلمة سبقت من ربك لقضي بينهم وإنهم لفي شك منه مريب ] — فصلت 45