Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.027 saat)
#1
Yusuf
:36
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Wakaingia
gerezani
pamoja
naye
vijana
wawili.
Mmoja
wao
akasema:
Hakika
mimi
nimeota
nakamua
mvinyo.
Na
mwingine
akasema:
Mimi
nimeota
nimebeba
mikate
juu
ya
kichwa
changu,
na
ndege
wanaila.
Hebu
tuambie
tafsiri
yake,
kwani
sisi
tunakuona
wewe
ni
katika
watu
wema.
]
[ ودخل معه السجن فتيان قال أحدهما إني أراني أعصر خمرا وقال الآخر إني أراني أحمل فوق رأسي خبزا تأكل الطير منه نبئنا بتأويله إنا نراك من المحسنين ] — يوسف 36