Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.022 saat)
#1
Al-Ma'idah
:116
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
pale
Mwenyezi
Mungu
atakapo
sema:
Ewe
Isa
bin
Maryamu!
Ati
wewe
uliwaambia
watu:
Nifanyeni
mimi
na
mama
yangu
kuwa
ni
miungu
badala
ya
Mwenyezi
Mungu?
(Na
Isa)
atasema:
Subhanaka,
Wewe
umetakasika!
Hainifalii
mimi
kusema
ambayo
si
haki
yangu.
Ikiwa
nilisema
basi
bila
ya
shaka
umekwisha
yajua.
Wewe
unayajua
yaliyo
ndani
ya
nafsi
yangu,
lakini
mimi
siyajui
yaliyo
katika
nafsi
yako.
Hakika
Wewe
ndiye
Mjuzi
mkubwa
wa
yaliyo
fichikana.
]
[ وإذ قال الله يا عيسى ابن مريم أأنت قلت للناس اتخذوني وأمي إلهين من دون الله قال سبحانك ما يكون لي أن أقول ما ليس لي بحق إن كنت قلته فقد علمته تعلم ما في نفسي ولا أعلم ما في نفسك إنك أنت علام الغيوب ] — المائدة 116