Filter Results
Surah
Keputusan: ( 1 sehingga 2 daripada 2 )
(0.022 saat)
#1
Az-Zumar
:5
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Ameumba
mbingu
na
ardhi
kwa
Haki.
Hufunika
usiku
juu
ya
mchana,
na
hufunika
mchana
juu
ya
usiku.
Na
amefanya
jua
na
mwezi
vitumike.
Kila
kimojapo
kinakwenda
kwa
kipindi
kilicho
wekewa.
Jueni
mtanabahi!
Yeye
ndiye
Mwenye
nguvu,
Mwenye
kusamehe!
]
[ خلق السماوات والأرض بالحق يكور الليل على النهار ويكور النهار على الليل وسخر الشمس والقمر كل يجري لأجل مسمى ألا هو العزيز الغفار ] — الزمر 5
#2
Hud
:60
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
wakafuatishiwa
laana
katika
dunia
hii
na
Siku
ya
Kiyama.
Basi
tambueni
mtanabahi!
Hakika
kina
A'adi
walimkufuru
Mola
wao
Mlezi.
Na
tambueni
mtanabahi
kuwa
hakika
waliangamizwa
kina
A'adi,
kaumu
ya
Hud.
]
[ وأتبعوا في هذه الدنيا لعنة ويوم القيامة ألا إن عادا كفروا ربهم ألا بعدا لعاد قوم هود ] — هود 60