Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.023 saat)
#1
An-Nisa'
:32
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Wala
msitamani
alicho
wafadhili
Mwenyezi
Mungu
baadhi
yenu
kuliko
wengine.
Wanaume
wana
fungu
katika
walio
vichuma,
na
wanawake
wana
fungu
katika
walio
vichuma.
Na
muombeni
Mwenyezi
Mungu
fadhila
zake.
Hakika
Mwenyezi
Mungu
ni
Mjuzi
wa
kila
kitu.
]
[ ولا تتمنوا ما فضل الله به بعضكم على بعض للرجال نصيب مما اكتسبوا وللنساء نصيب مما اكتسبن واسألوا الله من فضله إن الله كان بكل شيء عليما ] — النساء 32