Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.024 saat)
#1
An-Nisa'
:89
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Wanapenda
lau
kuwa
nanyi
mnge
kufuru
kama
walivyo
kufuru
wao,
ili
muwe
sawa
sawa.
Basi
msiwafanye
marafiki
miongoni
mwao
mpaka
wahame
kwa
ajili
ya
Dini
ya
Mwenyezi
Mungu.
Na
wakikengeuka
basi
wakamateni
na
wauweni
popote
mnapo
wapata.
Wala
msimfanye
rafiki
katika
wao
wala
msaidizi.
]
[ ودوا لو تكفرون كما كفروا فتكونون سواء فلا تتخذوا منهم أولياء حتى يهاجروا في سبيل الله فإن تولوا فخذوهم واقتلوهم حيث وجدتموهم ولا تتخذوا منهم وليا ولا نصيرا ] — النساء 89