Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.024 saat)
#1
Al-A'raf
:73
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
kwa
Thamud
tulimpeleka
ndugu
yao,
Saleh.
Akasema:
Enyi
watu
wangu!
Muabuduni
Mwenyezi
Mungu.
Nyinyi
hamna
Mungu
ila
Yeye.
Hakika
imekwisha
kukufikieni
Ishara
iliyo
wazi
kutoka
kwa
Mola
wenu
Mlezi.
Huyu
ni
ngamia
jike
wa
Mwenyezi
Mungu
aliye
ni
Ishara
kwenu.
Basi
mwachieni
ale
kwenye
ardhi
ya
Mwenyezi
Mungu,
wala
msimdhuru,
isije
kukushukieni
adhabu
chungu.
]
[ وإلى ثمود أخاهم صالحا قال يا قوم اعبدوا الله ما لكم من إله غيره قد جاءتكم بينة من ربكم هذه ناقة الله لكم آية فذروها تأكل في أرض الله ولا تمسوها بسوء فيأخذكم عذاب أليم ] — الأعراف 73