Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.022 saat)
#1
An-Nisa'
:43
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Enyi
mlio
amini!
Msikaribie
Sala,
hali
mmelewa,
mpaka
myajue
mnayo
yasema,
wala
hali
mna
janaba
-
isipo
kuwa
mmo
safarini
-
mpaka
mkoge.
Na
mkiwa
wagonjwa,
au
mmo
safarini,
au
mmoja
wenu
ametoka
chooni,
au
mmewagusa
wanawake
-
na
msipate
maji,
basi
ukusudieni
mchanga
safi,
mpake
nyuso
zenu
na
mikono
yenu.
Hakika
Mwenyezi
Mungu
ni
Msamehevu
na
Mwenye
kughufiria.
]
[ يا أيها الذين آمنوا لا تقربوا الصلاة وأنتم سكارى حتى تعلموا ما تقولون ولا جنبا إلا عابري سبيل حتى تغتسلوا وإن كنتم مرضى أو على سفر أو جاء أحد منكم من الغائط أو لامستم النساء فلم تجدوا ماء فتيمموا صعيدا طيبا فامسحوا بوجوهكم وأيديكم إن الله كان عفوا غفورا ] — النساء 43