Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.024 saat)
#1
Al-Baqarah
:26
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Hakika
Mwenyezi
Mungu
haoni
haya
kutoa
mfano
hata
wa
mbu
na
ulio
wa
zaidi
yake.
Ama
wale
walio
amini
hujua
ya
kwamba
hiyo
ni
haki
iliyo
toka
kwa
Mola
wao
Mlezi,
lakini
wale
walio
kufuru
husema:
Ni
nini
analo
kusudia
Mwenyezi
Mungu
kwa
mfano
huu?
Kwa
mfano
huu
huwapoteza
wengi
na
huwaongoa
wengi;
lakini
hawapotezi
ila
wale
wapotovu,
]
[ إن الله لا يستحيي أن يضرب مثلا ما بعوضة فما فوقها فأما الذين آمنوا فيعلمون أنه الحق من ربهم وأما الذين كفروا فيقولون ماذا أراد الله بهذا مثلا يضل به كثيرا ويهدي به كثيرا وما يضل به إلا الفاسقين ] — البقرة 26