Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.025 saat)
#1
Ghafir
:29
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Enyi
watu
wangu!
Leo
mna
ufalme,
mmeshinda
katika
nchi;
basi
ni
nani
atakaye
nisaidia
kutuokoa
na
adhabu
ya
Mwenyezi
Mungu
kama
ikitufikia?
Firauni
akasema:
Sikupeni
shauri
ila
ile
niliyo
iona,
wala
sikuongozeni
ila
kwenye
njia
ya
uwongofu.
]
[ يا قوم لكم الملك اليوم ظاهرين في الأرض فمن ينصرنا من بأس الله إن جاءنا قال فرعون ما أريكم إلا ما أرى وما أهديكم إلا سبيل الرشاد ] — غافر 29