Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.023 saat)
#1
Al-Baqarah
:71
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Akasema:
Yeye
anasema:
Kuwa
huyo
ni
ng'ombe
asiye
tiwa
kazini
kulima
ardhi
wala
kumwagia
maji
mimea,
mzima,
hana
baka.
Wakasema:
Sasa
umeleta
haki.
Basi
wakamchinja,
na
walikaribia
kuwa
wasifanye
hayo.
]
[ قال إنه يقول إنها بقرة لا ذلول تثير الأرض ولا تسقي الحرث مسلمة لا شية فيها قالوا الآن جئت بالحق فذبحوها وما كادوا يفعلون ] — البقرة 71