Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.026 saat)
#1
Ash-Shura
:45
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
utawaona
wanapelekwa
kwenye
Moto,
nao
wamenyenyekea
kwa
unyonge,
wanatazama
kwa
mtazamo
wa
kificho.
Na
walio
amini
watasema:
Hakika
wapatao
khasara
ni
hao
walio
khasiri
nafsi
zao
na
ahali
zao
Siku
ya
Kiyama.
Ama
hakika
wenye
kudhulumu
watakuwa
katika
adhabu
ya
daima.
]
[ وتراهم يعرضون عليها خاشعين من الذل ينظرون من طرف خفي وقال الذين آمنوا إن الخاسرين الذين خسروا أنفسهم وأهليهم يوم القيامة ألا إن الظالمين في عذاب مقيم ] — الشورى 45