Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.022 saat)
#1
An-Nisa'
:88
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Mmekuwaje
kuwa
makundi
mawili
kwa
khabari
ya
wanaafiki,
na
hali
Mwenyezi
Mungu
amewageuza
kwa
sababu
ya
yale
waliyo
yachuma?
Je!
Mnataka
kumwona
mwongofu
ambaye
Mwenyezi
Mungu
amemhukumu
kuwa
kapotea?
Na
aliye
mhukumu
Mwenyezi
Mungu
kuwa
amekwisha
potea
wewe
hutampatia
njia.
]
[ فما لكم في المنافقين فئتين والله أركسهم بما كسبوا أتريدون أن تهدوا من أضل الله ومن يضلل الله فلن تجد له سبيلا ] — النساء 88