Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 7 daripada 7 )
(0.023 saat)
#1
Yusuf
:25
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
wote
wawili
wakakimbilia
mlangoni,
na
mwanamke
akairarua
kanzu
yake
Yusuf
kwa
nyuma.
Na
wakamkuta
bwana
wake
mlangoni.
Mwanamke
akasema:
Hapana
malipo
ya
mwenye
kutaka
kumfanyia
maovu
mkeo
isipo
kuwa
kufungwa
au
kupewa
adhabu
chungu.
]
[ واستبقا الباب وقدت قميصه من دبر وألفيا سيدها لدى الباب قالت ما جزاء من أراد بأهلك سوءا إلا أن يسجن أو عذاب أليم ] — يوسف 25
#2
Yusuf
:26
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Yusuf
akasema:
Yeye
ndiye
aliye
nitaka
bila
ya
mimi
kumtaka.
Na
shahidi
aliye
kuwa
katika
jamaa
za
mwanamke
alisema:
Ikiwa
kanzu
yake
imechanwa
mbele
basi
mwanamke
amesema
kweli,
naye
Yusuf
ni
katika
waongo.
]
[ قال هي راودتني عن نفسي وشهد شاهد من أهلها إن كان قميصه قد من قبل فصدقت وهو من الكاذبين ] — يوسف 26
#3
Yusuf
:18
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
#4
Yusuf
:28
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
#5
Yusuf
:96
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
#6
Yusuf
:93
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
#7
Yusuf
:27
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani