Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.023 saat)
#1
Al-A'raf
:169
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
wakafuatia
baada
yao
kizazi
kibaya
walio
rithi
Kitabu.
Wakashika
anasa
za
haya
maisha
duni,
na
wakasema:
Tutasamehewa!
Na
ikiwajia
tena
anasa
kama
hiyo
wataishika
pia.
Je,
hawakufanyiwa
agano
la
Kitabu
kuwa
wasiseme
juu
ya
Mwenyezi
Mungu
ila
Haki
tu?
Nao
wamekwisha
soma
yaliomo
humo.
Na
nyumba
ya
Akhera
ni
bora
kwa
wanao
jikinga
na
maasi.
Basi
je,
hamtii
akilini?
]
[ فخلف من بعدهم خلف ورثوا الكتاب يأخذون عرض هذا الأدنى ويقولون سيغفر لنا وإن يأتهم عرض مثله يأخذوه ألم يؤخذ عليهم ميثاق الكتاب أن لا يقولوا على الله إلا الحق ودرسوا ما فيه والدار الآخرة خير للذين يتقون أفلا تعقلون ] — الأعراف 169