Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.023 saat)
#1
At-Tawba
:7
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Itakuwaje
iwepo
ahadi
na
washirikina
mbele
ya
Mwenyezi
Mungu
na
mbele
ya
Mtume
wake,
ila
wale
mlio
ahidiana
nao
kwenye
Msikiti
Mtakatifu?
Basi
maadamu
wanakwenda
nanyi
sawa,
nanyi
pia
nendeni
sawa
nao.
Hakika
Mwenyezi
Mungu
huwapenda
wachamngu
]
[ كيف يكون للمشركين عهد عند الله وعند رسوله إلا الذين عاهدتم عند المسجد الحرام فما استقاموا لكم فاستقيموا لهم إن الله يحب المتقين ] — التوبة 7