Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.023 saat)
#1
Al-Mumtahina
:1
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Enyi
mlio
amini!
Msiwafanye
adui
zangu
na
adui
zenu
kuwa
marafiki
mkiwapa
mapenzi,
na
hali
wao
wamekwisha
ikataa
haki
iliyo
kujieni,
wakamfukuza
Mtume
na
nyinyi
kwa
sababu
mnamuamini
Mwenyezi
Mungu,
Mola
Mlezi
wenu.
Mnapotoka
kwa
ajili
ya
Jihadi
katika
Njia
yangu
na
kutafuta
radhi
yangu,
mnafanya
urafiki
nao
kwa
siri,
na
Mimi
nayajua
mnayo
yaficha
na
mnayo
dhihirisha.
Na
mwenye
kufanya
hayo
kati
yenu
basi
ameipotea
njia
ya
sawa.
]
[ يا أيها الذين آمنوا لا تتخذوا عدوي وعدوكم أولياء تلقون إليهم بالمودة وقد كفروا بما جاءكم من الحق يخرجون الرسول وإياكم أن تؤمنوا بالله ربكم إن كنتم خرجتم جهادا في سبيلي وابتغاء مرضاتي تسرون إليهم بالمودة وأنا أعلم بما أخفيتم وما أعلنتم ومن يفعله منكم فقد ضل سواء السبيل ] — الممتحنة 1