Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.023 saat)
#1
Al-Anfal
:24
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Enyi
mlio
amini!
Muitikieni
Mwenyezi
Mungu
na
Mtume
anapo
kuitieni
jambo
la
kukupeni
uzima
wa
milele.
Na
jueni
kuwa
Mwenyezi
Mungu
huingia
kati
ya
mtu
na
moyo
wake,
na
kwamba
hakika
kwake
Yeye
tu
mtakusanywa.
]
[ يا أيها الذين آمنوا استجيبوا لله وللرسول إذا دعاكم لما يحييكم واعلموا أن الله يحول بين المرء وقلبه وأنه إليه تحشرون ] — الأنفال 24