Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.023 saat)
#1
Al-Baqarah
:118
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
walisema
wale
wasio
jua
kitu:
Mbona
Mwenyezi
Mungu
hasemi
nasi
au
zikatufikia
Ishara.
Kama
hivyo
walisema
wale
walio
kuwa
kabla
yao
mfano
wa
kauli
yao
hii.
Nyoyo
zao
zimefanana.
Hakika
Sisi
tumeziweka
wazi
Ishara
kwa
watu
wenye
yakini.
]
[ وقال الذين لا يعلمون لولا يكلمنا الله أو تأتينا آية كذلك قال الذين من قبلهم مثل قولهم تشابهت قلوبهم قد بينا الآيات لقوم يوقنون ] — البقرة 118