Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.022 saat)
#1
An-Nisa'
:94
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Enyi
mlio
amini!
Mnapo
safiri
katika
Njia
ya
Mwenyezi
Mungu
basi
hakikisheni,
wala
msimwambie
anaye
kutoleeni
salamu:
Wewe
si
Muumini;
kwa
kutaka
manufaa
ya
maisha
ya
dunia
hii,
hali
ya
kuwa
kwa
Mwenyezi
Mungu
zipo
ghanima
nyingi.
Hivyo
ndivyo
mlivyo
kuwa
nyinyi
zamani,
na
Mwenyezi
Mungu
akakuneemesheni.
Basi
chunguzeni
sawa
sawa.
Hakika
Mwenyezi
Mungu
anazo
khabari
za
mnayo
yatenda.
]
[ يا أيها الذين آمنوا إذا ضربتم في سبيل الله فتبينوا ولا تقولوا لمن ألقى إليكم السلام لست مؤمنا تبتغون عرض الحياة الدنيا فعند الله مغانم كثيرة كذلك كنتم من قبل فمن الله عليكم فتبينوا إن الله كان بما تعملون خبيرا ] — النساء 94