Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.022 saat)
#1
Hud
:28
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Akasema:
Enyi
watu
wangu!
Hebu
fikirini!
Ikiwa
mimi
ninayo
hoja
wazi
iliyo
toka
kwa
Mola
wangu
Mlezi,
na
amenipa
rehema
kutoka
kwake,
nayo
ikakufichikieni;
je,
tukulazimisheni
kuikubali
hali
nyinyi
mnaichukia?
]
[ قال يا قوم أرأيتم إن كنت على بينة من ربي وآتاني رحمة من عنده فعميت عليكم أنلزمكموها وأنتم لها كارهون ] — هود 28