Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.023 saat)
#1
Al Imran
:118
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Enyi
mlio
amini!
Msiwafanye
wasiri
wenu
watu
wasio
kuwa
katika
nyinyi.
Hawataacha
kukufanyieni
ubaya.
Wanayapenda
yanayo
kudhuruni.
Imekwisha
fichuka
chuki
yao
katika
midomo
yao.
Na
yanayo
ficha
vifua
vyao
ni
makubwa
zaidi.
Tumekwisha
kubainishieni
Ishara
ikiwa
nyinyi
mtayatia
akilini.
]
[ يا أيها الذين آمنوا لا تتخذوا بطانة من دونكم لا يألونكم خبالا ودوا ما عنتم قد بدت البغضاء من أفواههم وما تخفي صدورهم أكبر قد بينا لكم الآيات إن كنتم تعقلون ] — آل عمران 118