Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.022 saat)
#1
Al-Baqarah
:232
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
mtakapo
wapa
wanawake
t'alaka
nao
wakamaliza
eda
yao,
basi
msiwazuie
kuolewa
na
waume
zao
endapo
baina
yao
wamepatana
kwa
wema.
Hayo
anaonywa
nayo
yule
miongoni
mwenu
anaye
muamini
Mwenyezi
Mungu
na
Siku
ya
Mwisho.
Hayo
ni
bora
zaidi
kwenu
na
safi
kabisa.
Na
Mwenyezi
Mungu
anajua,
lakini
nyinyi
hamjui.
]
[ وإذا طلقتم النساء فبلغن أجلهن فلا تعضلوهن أن ينكحن أزواجهن إذا تراضوا بينهم بالمعروف ذلك يوعظ به من كان منكم يؤمن بالله واليوم الآخر ذلكم أزكى لكم وأطهر والله يعلم وأنتم لا تعلمون ] — البقرة 232